// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WAZIMU WA SUAREZ WAPANDA TENA URUGUAY IKITANDIKWA 1-0 COPA AMERICA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WAZIMU WA SUAREZ WAPANDA TENA URUGUAY IKITANDIKWA 1-0 COPA AMERICA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, June 10, 2016

    WAZIMU WA SUAREZ WAPANDA TENA URUGUAY IKITANDIKWA 1-0 COPA AMERICA

    Mshambuliaji Luis Suarez akipiga nje uzio wa benchi la wachezaji wa akina kwa hasira baada ya Uruguay kuruhusu bao ikilala 1-0 mbele ya Venezuela bao pekee la Salomon Rondon katika mchezo wa Copa America Alfajiri ya leo Uwanja wa Lincoln Financial Field mjini Philadelphia, Marekani. Venezuela imetinga Robo Fainali kwa ushindi huo PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAZIMU WA SUAREZ WAPANDA TENA URUGUAY IKITANDIKWA 1-0 COPA AMERICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top