// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); URUSI YAICHOMOLEA ENGLAND DAKIKA ZA LALA SALAMA, SARE 1-1 EURO 2016 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE URUSI YAICHOMOLEA ENGLAND DAKIKA ZA LALA SALAMA, SARE 1-1 EURO 2016 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, June 12, 2016

    URUSI YAICHOMOLEA ENGLAND DAKIKA ZA LALA SALAMA, SARE 1-1 EURO 2016

    Beki wa England, Gary Cahill akijaribu kuupitia mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Urusi, Fedor Smolov katika mchezo wa Kundi B Euro 2016 usiku wa Jumamosi Uwanja wa Stade Velodrome, Marseille, Ufaransa. Timu hizo zimetola sare ya 1-1, England wakitangulia kwa bao la Eric Dier dakika ya 73, kabla ya Vasili Berezutski kuisawazishia Urusi dakika ya 90 na ushei  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: URUSI YAICHOMOLEA ENGLAND DAKIKA ZA LALA SALAMA, SARE 1-1 EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top