Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi mepesi katika viwanja vya hoteli ya Riu mjini Antalya, Uturuki ambako wameweka kambi kuanzia leo kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji MO Bejaia nchini Algeria Juni 19, mwaka huu
Kipa Deo Munishi 'Dida' akiwa tayari kwa mazoezi mjini AntalyaWachezaji wa Yanga wakielekea uwanjani kutoka hoteli ya Riu
Wachezaji wa Yanga wakisikiliza mawaidha ya kocha wao, Mholanzi Hans van der Pluijm kabla ya kuanza mazoezi
Uwanja ambao Yanga itakuwa ikifanya mazoezi katika kipindi chote cha kambi yake Antalya
Hoteli ya Riu ambayo Yanga wamefikia mjini Antalya
0 comments:
Post a Comment