Nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta (kushoto) akijivuta kupiga shuti pembeni ya beki wa Misri, Abdallah Mahmoud Saidkatika mchezo wa Kundi G kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Misri ilishinda 2-0
Mshambuliaji wa Taifa Stars, akimtoka beki wa Mafarao, Nagram Mohsin Fahmy
Mshambuliaji wa Tanzania, Thomas Ulimwengu akiwatoka mabeki wa Misri
Mshambuliaji wa Tanzania, John Bocco akipambana na beki wa Misri, Abood Abdulrahman Amed
Samatta akiwachambua wachezaji wa Misri jana huku refa Meye Bastrel wa Gabon akishuhudia
Beki wa Taifa Stars, Aggrey Morris akiruka juu kupiga mpira kichwa dhidi ya wachezaji wa Mafarao
Kiungo wa Tanzania, Mwinyi Kazimoto (kulia) akiwania mpira wa juu dhidi ya kiungo wa Misri Tarek Hamad Hemed
Kiungo wa Tanzania, Himid Mao akimtoka beki wa Mafarao, Nagram Mohsin Fahmy
Mshambuliaji wa Taifa Stars, akimtoka beki wa Mafarao, Nagram Mohsin Fahmy
Mshambuliaji wa Tanzania, Thomas Ulimwengu akiwatoka mabeki wa Misri
Samatta akiwachambua wachezaji wa Misri jana huku refa Meye Bastrel wa Gabon akishuhudia
Beki wa Taifa Stars, Aggrey Morris akiruka juu kupiga mpira kichwa dhidi ya wachezaji wa Mafarao
Kiungo wa Tanzania, Mwinyi Kazimoto (kulia) akiwania mpira wa juu dhidi ya kiungo wa Misri Tarek Hamad Hemed
Kiungo wa Tanzania, Himid Mao akimtoka beki wa Mafarao, Nagram Mohsin Fahmy
Kikosi cha Taifa Stars kilichoanza jana dhidi ya Mafarao na kuchapwa 2-0 |
Kikosi cha Misri kilichoifunga Taifa Stars 2-0 jana Uwanja wa Taifa |
0 comments:
Post a Comment