Mshambuliaji wa Stand United, Elias Maguli akimiliki mpira katika mazoezi ya timu ya taifa, Taifa Stars kujiandaa na mchezo wa kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Misri ambao Tanzania ilifungwa 2-0 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Maguli ni kati ya washmbuliaji bora kwa sasa Tanzania, ambaye inaonekana kama Stand United
Uwezekano wa Maguli kubaki Stand ni mdogo baada ya kutofautiana na kocha Mfaransa, Patrick Liewig
Maguli ni kati ya washmbuliaji bora kwa sasa Tanzania, ambaye inaonekana kama Stand United
Uwezekano wa Maguli kubaki Stand ni mdogo baada ya kutofautiana na kocha Mfaransa, Patrick Liewig
0 comments:
Post a Comment