// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA YA ENZI ZA RAHA TUPU, KIZOTA MASHA, EDO CHUMILA WE ACHA TU! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA YA ENZI ZA RAHA TUPU, KIZOTA MASHA, EDO CHUMILA WE ACHA TU! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, June 08, 2016

    SIMBA YA ENZI ZA RAHA TUPU, KIZOTA MASHA, EDO CHUMILA WE ACHA TU!

    Kikosi cha Simba SC mwaka 1995 kilichokuwa kikiundwa na nyota mbalimbali wa taifa enzi hizo kama Hussein Masha na marehemu Edward Chumila na Said Mwamba ‘Kizota’ ambacho kilitawala soka ya Afrika Mashariki na Kati kati ya 1995 na 1997, kabla ya nyota mbalimbali kuondoka na kupoteza makali ya timu kwa muda hadi ilipozinduka tena mwaka 2001.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA YA ENZI ZA RAHA TUPU, KIZOTA MASHA, EDO CHUMILA WE ACHA TU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top