// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SERENGETI BOYS NA SHELISHELI KATIKA PICHA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SERENGETI BOYS NA SHELISHELI KATIKA PICHA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Monday, June 27, 2016

        SERENGETI BOYS NA SHELISHELI KATIKA PICHA JANA TAIFA

        Beki wa Shelisheli, Mathiew Bassot (kushoto) akiutelezea mpira miguuni mwa beki wa Tanzania, Nickson Clement Kibabage katika mchezo wa kwanza Raundi ya Kwanza kuwania tiketi ya Fainali za Vijana Afrika mwakani nchini Madagascar. Tanzania, maarufu kama Serengeti Boys ilishinda 3-0
        Mathiew Bassot akiutelezea mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Tanzania, Rashid Mohamed Chambo (kulia)
        Kiungo wa Tanzania, Kelvin Nashon Naftali akiwachambua wachezajia wa Shesheli
        Beki wa Serengeti Boys, Israel Patrcik Mwenda akimtoka mchezaji wa Shelisheli
        Kiungo wa Tanzania, Asad Ali Juma akiwatoka wachezaji wa Shesheli
        Mshambuliaji wa Tanzania, Ibrahim Abdallah Ali akimtoka beki wa Shelisheli Brandon Tancustte
        Nickson Clement Kibabage wa Tanzania (kulia) akimtoka Darren Dolley wa Shelisheli (kushoto)
        Nickson Clement Kibabage wa Tanzania (kulia) akimtoka Darren Dolley wa Shelisheli (kushoto)
        Kikosi cha Shelisheli kilichoanza dhidi ya Tanzania jana
        Kikosi cha Tanzania kilichoanza dhidi ya Shelisheli jana
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SERENGETI BOYS NA SHELISHELI KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry