// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RONALDO AGONGA MBILI URENO YAITANDIKA ESTONIA 7-0 PASHA PASHA YA EURO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RONALDO AGONGA MBILI URENO YAITANDIKA ESTONIA 7-0 PASHA PASHA YA EURO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, June 09, 2016

    RONALDO AGONGA MBILI URENO YAITANDIKA ESTONIA 7-0 PASHA PASHA YA EURO

    Mshambuliaji wa Real Madrid ya Hispania, Cristiano Ronaldo akishangilia kishujaa baada ya kuifungia mabao mawili Ureno katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Estonia kwenye mchezo wa kirafiki kujiandaa na Euro 2016 nchini Ufaransa. Mabao mengine ya Ureno yamefungwa na Ricardo Quaresma mawili, Danilo Pereira, Mets aliyejifunga na Eder 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AGONGA MBILI URENO YAITANDIKA ESTONIA 7-0 PASHA PASHA YA EURO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top