Nahodha wa Colombia, James Rodriguez akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Paraguay kwenye mchezo wa Copa America Uwanja wa Rose Bowl mjini Pasadena, Marekani alfajiri ya leo. Bao lingine la Colombia ambayo sasa inatinga Robo Fainali ya michuano hiyo, limefungwa na Carlos Bocca wakati la Paraguay limefungwa na Victor Ayala PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Kiungo wa Marekani, Jermaine Jones akifumua shuti katikati ya wachezaji wa Costa Rica kuifungia timu yake bao la pili katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa Copa America mjini Chicago alfajiri ya leo. Mabao mengine ya Marekani yamefungwa na Clint Dempsey, Bobby-Wood na Graham-Zusi PICHA ZAIDI GONGA HAPA

0 comments:
Post a Comment