// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); PICHA TOFAUTI ZA MUHAMMAD ALI IKIWEMO YA MWISHO KUPIGWA KABLA YA KIFO CHAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE PICHA TOFAUTI ZA MUHAMMAD ALI IKIWEMO YA MWISHO KUPIGWA KABLA YA KIFO CHAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, June 06, 2016

    PICHA TOFAUTI ZA MUHAMMAD ALI IKIWEMO YA MWISHO KUPIGWA KABLA YA KIFO CHAKE

    DUNIA ilimpoteza gwiji wa ngumi usiku wa kuamkia juzi, Muhammad Ali bingwa wa zamani mara tatu wa uzito wa juu.
    Ali aliyestaafu na rekodi ya kucheza mapambano 56 akipoteza matano, kati ya hayo 37 akishinda kwa Knockout (KO) alikuwa bondia wa kwanza kushinda mara tatu ubingwa wa dunia, ingawa miaka ya 1960 aligoma kujiunga na Jeshi la Marekani kwenda kupigana vita ya Vietnam.
    BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE kwa kushirikiana na Daily Mail - Online inakuletea picha za matukio tofauti ya Ali enzi za uhai wake, ikiwemo ya mwisho kupiwa kabla ya kifo chake (chini).  

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PICHA TOFAUTI ZA MUHAMMAD ALI IKIWEMO YA MWISHO KUPIGWA KABLA YA KIFO CHAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top