Kipa wa Chile, Claudio Bravo akiinua Kombe la Copa America Centenario baada ya kulitwaa usiku wa kuamkia leo kwa kuifunga Argentina kwa penalti 4-2 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 120 Uwanja wa MetLife, East Rutherford mjini New Jersey, Marekani. Mwanasoka bora wa dunia, Lionel Messi alikosa penalti ya kwanza ya Argentina sawa na Lucas Biglia aliyekosa ya nne. Waliofunga penalti za Argentina ni Javier Mascherano na Sergio Aguero wakati za Chile zilifungwa na N. Castillo, C. Aránguiz, J. BeausejourF. Silva huku A. Vidal akikosa ya kwanza tena PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Report: United Women 2 Everton 0
-
Marc Skinner's Reds go into the April international break with a win that
takes us closer to European qualification.
32 minutes ago
0 comments:
Post a Comment