// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); LEICESTER CITY WAKAMILISHA USAJILI WA KIPA LA MAN UNITED - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE LEICESTER CITY WAKAMILISHA USAJILI WA KIPA LA MAN UNITED - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, June 05, 2016

    LEICESTER CITY WAKAMILISHA USAJILI WA KIPA LA MAN UNITED

    Mabingwa wa England, Leicester City wamethibitisha kumsajili kipa wa zamani wa Manchester United, Ron-Robert Zieler aliyekuwamo kwenye kikosi cha Ujerumani kilichotwaa Kombe la Dunia mwaka 2014 nchini Brazil, ingawa ametemwa kwenye kikosi cha Euro 2016  PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LEICESTER CITY WAKAMILISHA USAJILI WA KIPA LA MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top