// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DEPAY APAKIA GARI ZAKE KURUDISHA UHOLANZI, ANAHAMA MAN UNITED? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DEPAY APAKIA GARI ZAKE KURUDISHA UHOLANZI, ANAHAMA MAN UNITED? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, June 07, 2016

    DEPAY APAKIA GARI ZAKE KURUDISHA UHOLANZI, ANAHAMA MAN UNITED?

    Magari ya winga wa Manchester United, Mholanzi Memphis Depay yakiwa yamepakiwa kwenye gari kubwa tayari kusafirishwa kurudishwa Uholanzi. Depay alihamia United na Mercedes G Wagon yenye thamani ya Pauni 100,000 na Scorpion Trike ya Pauni 13,500. Je hizi ni dalili mchezaji huyo anaondoka Man United?  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DEPAY APAKIA GARI ZAKE KURUDISHA UHOLANZI, ANAHAMA MAN UNITED? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top