// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); COUTINHO APIGA HAT TRICK BRAZIL IKICHINJA 7-1 COPA AMERICA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE COUTINHO APIGA HAT TRICK BRAZIL IKICHINJA 7-1 COPA AMERICA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, June 09, 2016

    COUTINHO APIGA HAT TRICK BRAZIL IKICHINJA 7-1 COPA AMERICA

    Kiungo wa Liverpool ya England, Philippe Coutinho akikimbia kushangikia baada ya kuifungia mabao matatu Brazil katika ushindi wa 7-1 dhidi ya Haiti kwenye mchezo wa Copa America Uwanja wa Camping World mjini Orlando, Marekani. Mabao mengine ya Brazil yamefungwa na Renato Augusto mawili, Gabriel Barbosa na Lucas Lima, wakati la Haiti limefungwa na James Marcelin  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COUTINHO APIGA HAT TRICK BRAZIL IKICHINJA 7-1 COPA AMERICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top