// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BRAZIL YANG'ANG'ANIWA 0-0 NA ECUADOR COPA AMERICA, COLOMBIA YAIPIGA 2-0 MAREKANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BRAZIL YANG'ANG'ANIWA 0-0 NA ECUADOR COPA AMERICA, COLOMBIA YAIPIGA 2-0 MAREKANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, June 05, 2016

    BRAZIL YANG'ANG'ANIWA 0-0 NA ECUADOR COPA AMERICA, COLOMBIA YAIPIGA 2-0 MAREKANI

    Kiungo wa Brazil, Willian akipiga mpira mbele ya kipa wa Ecuador, Dreer katika mchezo wa ufunguzi wa Copa America usiku wa kuamkia leo mjini California, Marekani. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0  PICHA ZAIDI GONGA HAPA  

    Sebastian Perez wa Colombia (kulia) akipasua katikati ya wachezaji wa Marekani katika mchezo wa ufunguzi wa Copa America jana mjini Santa Clara. Ecuador ilishinda 2-0, mabao ya Cristian Zapata na James Rodriguez kwa penalti  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BRAZIL YANG'ANG'ANIWA 0-0 NA ECUADOR COPA AMERICA, COLOMBIA YAIPIGA 2-0 MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top