Kiungo wa Arsenal ya England, Mohammed El Neny (kulia) akimsukuma kiungo wa Azam FC, Farid Mussa baada ya kulambwa chenga ya maudhi katika mchezo wa Kundi G kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Misri ya El Neny iliifunga Tanzania ya Farid mabao 2-0
Farid Mussa alianza kwa kumfunga tela kwa kasi El Neny
Akafika sehemu akawa kama anataka kupiga krosi
Ghafla akamgaueza kwa chenga kali za ufundi wa enzi za Jay Jay Okocha, ndipo El Neny akafanya alichiofanya katika picha ya kwanza juu

0 comments:
Post a Comment