
Thursday, June 30, 2016

Mteja akiwa ndani ya duka la Azam FC viwanja vya Saba Saba, Dar es Salaam kwa ajili ya kununua bidhaa za klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Vodaco...
AZAM FC KUMKOSA SERGE WAWA MECHI YA NGAO NA YANGA
Thursday, June 30, 2016
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM BEKI wa kati wa Azam FC, Serge Wawa Pascal atakosa mechi ya Ngao ya Jamii dhidi Yanga Agosti na pia atakos...
MOURINHO AAMUA KUMREJESHA KWELI POGBA MAN UNITED
Thursday, June 30, 2016
KLABU ya Manchester United ya England imeanza majadiliano na Juventus ya Italia juu ya kiungo kumsajili tena kiungo wake wa zamani, Mfaran...
WARAKA WA MALINZI JUU YA MECHI YA YANGA NA TP MAZEMBE...
Thursday, June 30, 2016
"NDUGU WANAHABARI, Nimewakaribisha kuzungumza nanyi kuhusu hali isiyo ya kawaida iliyojitokeza katika uendeshaji wa mashindano ya kima...
JERRY MURO AITWA KAMATI YA MAADILI TFF
Thursday, June 30, 2016
OMOG AWASILI LEO KUSAINI MKATABA SIMBA SC
Thursday, June 30, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KOCHA Mcameroon, Joseph Marius Omog anatarajiwa kuwasili usiku wa leo kwa ajili ya mazungumzo ya mwisho ...
SERENGETI BOYS YAIFUATA SHELISHELI KWA MCHEZO WA MARUDIANO
Thursday, June 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imeondoka saa 9.45 alfajiri ya leo Juni...
Wednesday, June 29, 2016
RONALDO ALIVYO TAYARI KWA POLAND ROBO FAINALI EURO 2016 KESHO
Wednesday, June 29, 2016
Nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo akimiliki mpira wakati wa mazoezi ya timu yake leo kujindaa na Robo Fainali ya Euro 2016 dhidi ya Polan...
MEDEAMA YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA MO BEJAIA NYUMBANI
Wednesday, June 29, 2016
MEDEAMA FC imelazimishwa sare ya bila kufungana na MO Bejaia ya Algeria katika mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika jioni ya leo Uw...
KOCHA ATAJA KIKOSI CHA TWIGA STARS KITAKACHOHEZA NA RWANDA
Wednesday, June 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya soka ya wanawake, maarufu Twiga Stars, Nasra Juma ametaja kikosi cha wache...
ULIMWENGU AISHAURI YANGA CHA KUFANYA IFIKE NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO
Wednesday, June 29, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa TP Mazembe, Mtanzania Thomas Emmanuel Ulimwengu amesema kwamba Yanga inaweza kufika Nusu...
HANS POPPE: YANGA WAMELITIA AIBU TAIFA KWA BUTUA BUTUA YAO
Wednesday, June 29, 2016
Na Princes Asia, DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe amesema Yanga jana wamelitia aibu taifa kw...
TUKUYU STARS LILIKUWA BONGE LA TIMU ENZI ZAKE LIGI KUU
Wednesday, June 29, 2016
Wachezaji wa Tukuyu Stars ya Mbeya kutoka kushoto, Mohamed Kassanda, Raphael Mapunda na Kanza Mrisho wakiwa Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya...
HIVI WANA YANGA WANAMUELEWAJE MANJI!
Wednesday, June 29, 2016
YANGA jana imemaua mashabiki wake waingie bure katika mchezo dhidi ya TP Mazembe ya DRC Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Katika mchezo huo ...
YANGA NA TP MAZEMBE KATIKA PICHA JANA TAIFA
Wednesday, June 29, 2016
Mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe Donald Ngoma (kulia) akiwania mpira wa juu dhidi ya beki wa TP Mazembe ya DRC, Christian Luyindama katik...
Tuesday, June 28, 2016
TSHABALALA: BADO NIPO NIPO SANA SIMBA
Tuesday, June 28, 2016
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM BEKI wa kushoto wa Simba SC, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ amepuuzia uvumi kwamba anataka kuihama klabu hi...
SADIO MANE TAYARI MCHEZAJI MPYA WA LIVERPOOL
Tuesday, June 28, 2016
Mshambuliaji Msenegali, Sadio Mane akifurahia na jezi ya Liverpool baada ya kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 30 kutoka Southa...
YANGA WAVUNA MALUMBANO, WAPIGWA 1-0 NA MAZEMBE TAIFA
Tuesday, June 28, 2016
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM YANGA SC imevuna matunda ya malumbano badala ya maandalizi kufuatia kufungwa bao 1-0 na TP Mazembe ya DRC ...
KALABA NJE MAZEMBE DHIDI YA YANGA, ULIMWENGU ANAANZA
Tuesday, June 28, 2016
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJi tegemeo wa TP Mazembe ya DRC, Ranford Kalaba hatacheza dhidi ya Yanga jioni ya leo Uwanja wa ...
MAGETI YAFUNGWA, WATU WA NJE WATIMULIWA KWA MABOMU UWANJA WA TAIFA
Tuesday, June 28, 2016
Askari Polisi (kushoto) akiwafukuza mashabiki waliojitokeza kuingia bure kwenye mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika kati ya weny...
PLUIJM AMUANZISHA DOGO MAHADHI, CHIRWA YANGA NA MAZEMBE, JUMA ABDUL AREJEA
Tuesday, June 28, 2016
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM KIUNGO Juma Mahadhi atacheza mechi yake ya kwanza Yanga leo, baada ya kupangwa katika mchezo dhidi ya TP Ma...
HUO UKAGUZI WA LEO TAIFA WE ACHA TU!
Tuesday, June 28, 2016
Askari wa jeshi la Polisi mwanamama, (kushoto) akimkagua shabiki wa kike anayeingia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kutazama mchezo wa Kun...
OSCAR NJE, MBUYU TWITE KUCHEZA BEKI YA KUSHOTO
Tuesday, June 28, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM YANGA itacheza mechi yake ya pili ya Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya TP Mazembe ya DRC bila ...
Subscribe to:
Posts (Atom)