// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA KUANZIA UGENINI NA WAARABU WA ALGERIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA KUANZIA UGENINI NA WAARABU WA ALGERIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, May 24, 2016

    YANGA KUANZIA UGENINI NA WAARABU WA ALGERIA

    RATIBA KOMBE LA SHIRIKISHO
    KUNDI A:
    Juni 17, 2016
    MO Bejaia Vs Yanga SC
    TP Mazembe Vs  Medeama
    Juni 28, 2016
    Yanga SC vs TP Mazembe
    Medeama Vs MO Bejaia
    Julai 15, 2016
    Yanga SC Vs Medeama
    MO Bejaia Vs TP Mazembe
    Julai 26, 2016
    TP Mazembe Vs MO Bejaia
    Medeama Vs Yanga SC
    Agosti 12, 2016
    Medeama Vs TP Mazembe
    Yanga SC Vs MO Bejaia
    Agosti 23, 2016
    TP Mazembe Vs Yanga SC
    Mo Bejaia Vs Medeama
    KUNDI B:
    Kawkab Marrakech Vs Etoile du Sahel 
    F.U.S Rabat Vs Ahly Tripoli 
    Juni 28, 2016
    Etoile du Sahel Vs F.U.S Rabat
    Ahly Tripoli Vs Kawkab Marrakech 
    Julai 15, 2016
    Etoile du Sahel Vs Ahly Tripoli
    Kawkab Marrakech Vs F.U.S Rabat
    Julai 26, 2016
    F.U.S Rabat Vs Kawkab Marrakech 
    Ahly Tripoli Vs Etoile du Sahel 
    Agosti 12, 2016

    Ahly Tripoli Vs F.U.S Rabat
    Etoile du Sahel Vs Kawkab Marrakech
    Agosti 23, 2016
    Kawkab Marrakech Vs Ahly Tripoli
    F.U.S Rabat Vs Etoile du Sahel  

    YANGA SC itafungua dimba na Mouloudia Olympique Bejaia nchini Algeria Juni 17, mwaka huu katika Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika.
    Siku hiyo, mabingwa wa zamani wa Afrika, TP Mazembe ya DRC watakuwa wenyeji wa Medeama ya Ghana katika mchezo mwingine wa kundi hilo.
    Mechi za Kundi B siku hiyo; Kawkab Marakech watakuwa wenyeji wa mabingwa watetezi Etoile du Sahel katika mchezo wa Kundi B nchini Morocco, wakati F.U.S Rabat watakuwa wenyeji wa Ahly Tripoli nchini Morocco pia.
    Ikitoka Algeria, Yanga itarejea nyumbani kuikaribisha TP Mazembe Juni 28, kabla ya kumaliza na Medeama ya Ghana Julai 15, Dar es Salaam pia.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA KUANZIA UGENINI NA WAARABU WA ALGERIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top