Mwenyekiti wa Azam FC, Sheikh Said Muhammed (kushoto) akiwakanbidhi jezi ya timu hiyo, makocha wapya, Zebensul Hernandez Rodriguez na Jonas Garcia Luis (wa pili kulia). Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Azam, Saad Kawemba
Sheikh Said akiwashuhudia makocha hao wakati wakisaini mikataba ya miaka miwili kila mmoja kufundisha Azam FC kuanzia Juni |
Jonas Garcia Luis akibadilishana nakala za mikataba na Shekh Said |
0 comments:
Post a Comment