Mwonekano wa ndani wa duka la vifaa vya michezo la Azam kwa ajili ya mashabiki wa timu hiyo baada ya kuzinduliwa rasmi leo Mtaa wa Swahili na Mkunguni, Kariakoo, Dar es Salaam
![]() |
Duka la Azam FC linapendesa mno kwa ndani kutokana na vifaa bora vilivyomo |
![]() |
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka hilo |
![]() |
Vifaa aina zote vya michezo vimo ndani ya duka la Azam FC, ambalo sasa linaongozwa kwa ubora nchini |
![]() |
Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alfred Lucas hakubaki nyuma katika uzinduzi huo |
0 comments:
Post a Comment