Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akiruka hewani kushangilia baada ya kuifungia timu yake mabao yote matatu katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Granada kwenye mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa Nuevo Los Carmenes. Ushindi huo umeifanya Barca kufikisha pointi 91 baada ya kucheza mechi 38 na kutwaa ubingwa wa La Liga, wakiwazidi kwa pinti moja mahasimu, Real Madird PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Former Jets coach Eric Mangini makes shock accusation against Aaron Rodgers
-
As a season of humiliation draws closer to an end for the Jets, one former
coach of the team believes the squad's most notable name has been trying to
lay ...
30 minutes ago
0 comments:
Post a Comment