Beki wa Bosnia-Herzegovina, Emier Spahic akimpa mkono wa uso kiungo wa Hispania Cesc Fabregas wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa baina ya timu hizo usiku wa Jumapili nchini Uswisi. Spahic alitolewa kwa kadi nyekundu Hispania ikiilaza Bosni 3-1. Mabao ya Hispania yamefungwa na Nolito mawili na lingine Pedro wakati la Bosnia limefungwa na Spahic PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ohio coach Brian Smith, 45, fired for affair with student in new scandal
amid Sherrone Moore's Michigan crisis
-
Brian Smith, 45, was dismissed by the school on Wednesday for what was
described 'serious professional misconduct,' shortly after he was placed on
administ...
35 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment