// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RONALDO AWEKA REKODI MPYA AKIIPIGIA MAWILI REAL MADRID - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RONALDO AWEKA REKODI MPYA AKIIPIGIA MAWILI REAL MADRID - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, May 15, 2016

    RONALDO AWEKA REKODI MPYA AKIIPIGIA MAWILI REAL MADRID

    Mshambuliaji wa Real Madrid, Mreno Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao yote katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Deportivo La Coruna katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi. Kwa mabao hayo, Ronaldo ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kihistoria kufunga mabao zaidi ya 50 kwa misimu sita mfululizo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AWEKA REKODI MPYA AKIIPIGIA MAWILI REAL MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top