Copa Amerika
Ilianza mwaka 1916 ndio michuano mikongwe zaidi ya mabara duniani. Michuano hii
inajitosheleza na imekua ikizaa matunda kwa timu za taifa za ukanda huu, kwa
mfano Uruguay walikua vizuri sana katika kombe la dunia la 2010 Afrika Kusini
wakati Colombia wakitesa katika fainali zilizopita. Timu hizi kutoka ukanda huu
ni nadra sana kutolewa hatua za awali za michuano ya kombe la dunia.
Kuna makundi manne (4)
ambayo yatashiriki katika michuano hii. Kundi A litakuwa na timu nne nazo ni,
USA, COLOMBIA, PARAGUAY NA COSTA RICA. Kundi B nalo litakua na timu ya BRAZIL,
PERU, HAITI na EQUIDOR, Kundi C watakuwepo MEXICO, URUGUAY, JAMAICA na VENEZUELA
na kundi la mwisho watakuepo ARGENTINA, CHILE, PANAMA na BOLIVIA.
Kwa Tanzania Michuano
hii itarushwa na StarTimes pekee kupitia channel zao za michezo kuanzia tarehe 04 June 2016.
#CopaAmericaOnStarTimes #Exclusive
Download app ya StarTimes kujishindia zawadi www.startimes.com
Download app ya StarTimes kujishindia zawadi www.startimes.com
0 comments:
Post a Comment