Mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta (kushoto) akiwania mpira wa juu dhidi ya beki wa KV Oostende katika mchezo wa Ligi ya mchujo Ubelgiji kuwania kufuzu michuano ya Ulaya uliofanyika usiku wa Jumamosi Uwanja wa Schiervelde mjini Roeselare. KV Oostende ilishinda 2-1
Samatta akimtoka beki wa KV Oostende jana
Samatta akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa KV Oostende na kipa wao
Samatta akiruka na kipa wa KV Oostende kuwania mpira wa kona
Samatta akiruka na kipa wa KV Oostende kuwania mpira wa kona
0 comments:
Post a Comment