Ben Sajjabi akiwa amelala chini baada ya kuchapwa ngumi ya uzito wa juu na Chichi Mawe |
Bondia Thomas Mashali (kulia) wa Tanzania akimchapa konde Sajad Mehrabi wa Iran katika pambano la uzito wa Super Middle usiku wa jana kuwania ubingwa wa dunia wa UBU. Mashali alishinda kwa pointi |
Mashali na Mehrabi wakionyesha ujuzi wa mchezo wa ngumi usiku wa jana Uwanja wa Taifa |
Mashali na Mehrabi walipigaa kwa taundi 12 katika pambano kali na la kusisimua |
Bondia Allan Kamote wa Tanzania (kushoto) akiwa amemchapa konde Salim Chazama wa Malawi katika pambano la uzito wa Light jana. Mabondia hao walitoka sare |
Bondia Ramadhani wa Tanzania (kulia) akimchapa konde Osgood Kayuni wa Malawi (kushoto) katika pambano la uzito wa Welter. Shauri alishinda kwa pointi |
Bondia Saleh Mkalekwa wa Tanzania (kushoto) akikwepa ngumi ya Mkenya, James Onyango (kulia) katika pambano la uzito wa Welter jana kuwania ubingwa wa UBO. Mkalekwa alishinda kwa pointi |
Bondia Nassib Ramadhani wa Tanzania (kulia), akimuadhibu Remmy Iga wa Uganda usiku wa jana Uwanja wa Taifa katika pambano la uzito wa Super Bantam |
0 comments:
Post a Comment