Wachezaji wa Yanga wakifuarahia na Kombe lao jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam |
Dida akimuambia jambo kwa siri, mgeni rasmi, Waziri wa Kilimo na Uvuvi, Mwigulu Mchemba |
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom, Ian Ferrao (kushoto) akimvalisha Medali kiungo wa Yanga, Mbuyu Twite |
Bossou akiwa amemdandia mgongni kocha Hans van der Pluijm kufurahia naye |
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Sheikh Said Muhammad (kushoto) akimvalisha Medali mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma wa Zimbabwe |
Waziri Nchemba akimvalisha Medali, Mzimbabwe mwingine wa Yanga, Thabani Kamusoko |
Ferrao akimvalisha Medali mtoto wa kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima |
Ferrao akimvalisha Medali winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya |
Kikosi kizima cha Yanga kikifurahia na Kombe la jana Uwanja wa Taifa |
0 comments:
Post a Comment