Bondia Arnold Gjergjaj akipepesuka kuelekea chini baada ya kupigwa ngumi mfululizo na mpinzani wake David Haye katika pambano la uzito wa juu usiku wa jana ukumbi wa O2 mjini London, Uingereza. Haye alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya pili akimuangusha mara nne mpinzani wake huyo na sasa anaweza kurudi tena ulingoni Septemba kuzipiga na Mmarekani Shannon Briggs ambaye pia alishinda pambano lake usiku wa jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
I am the only voice defending Spurs - Postecoglou
-
Ange Postecoglou gives an impassioned, detailed defence of his record while
adding he is struggling with unique challenges at Tottenham.
35 minutes ago
0 comments:
Post a Comment