Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao matatu katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Aston Villa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Emirates. Bao lingine la Arsenal limefungwa na kipa wa Villa, Mark Bunn aliyejifunga akijaribu kuokoa shuti la Mikel Arteta lililomgonga na kutinga nyavuni PICHA ZAIDI GONGA HAPA
TeamViewer Trending: Maguire's Resurgence
-
Harry Maguire's reputation is now arguably higher than at any point since
the summer of 2021, writes Joe Ganley.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment