Beki wa Yanga, Vincent Bossou akikimbilia mpira mbele ya kiungo wa Ndanda FC, Kiggy Makassy |
Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kulia) akikimbilia mpira dhidi ya kiungo wa Ndanda FC, William Lucian 'Gallas' |
Beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali (kulia) akipiga krosi pembeni ya beki wa Ndanda, Aziz Sibo |
Winga wa Yanga Geoffrey Mwashiuya akimtoka beki wa Ndanda FC, Aziz Sibo |
Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akimtoka beki wa Ndanda, Hemed Khoja. Kushoto ni Amissi Tambwe wa Yanga |
Winga wa Yanga, Simon Msuva akipiga shuti katika mchezo huo wa jana Uwanja wa Taifa |
Beki wa Yanga, Juma Abdul (kulia) akimdhibiti mshambuliaji wa Ndanda FC, Atupele Green |
Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya akipasua katikati ya wachezaji wa Ndana FC jana |
Wachezaji wa Yanga SC wakikatiza katikati ya wachezaji wa Ndanda kupokea heshima yao kwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu kabla ya mchezo wa jana |
0 comments:
Post a Comment