
Tuesday, May 31, 2016

KIUNGO wa Atletico Madrid, Saul Niguez, anayetakiwa kwa dau la Pauni Milioni 54 na kocha Jose Mourinho wa Manchester United, hajajumuishwa...
RASHFORD APEWA 'SITI' KIKOSI CHA MWISHO ENGLAND EURO 2016
Tuesday, May 31, 2016
KOCHA Roy Hodgson ametaja kikosi cha wachezaji 23 kwa ajili ya fainali za Euro 2016 akimjumuisha Marcus Rashford pamoja na Daniel Sturrid...
MUDA WA KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA YANGA WAONGEZWA
Tuesday, May 31, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), iliyopewa jukumu la kusimamia uchaguzi wa Klabu ...
'NEW KAITABA STADIUM', KAGERA SUGAR WAREJEA KWENYE MACHINJIO YAO
Tuesday, May 31, 2016
Mwonekano wa Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba baada ya ukarabati uliosababisha usitumike msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, ha...
MAREFA WA GABON KUCHEZESHA TAIFA STARS NA MISRI, TWIGA KUMENYANA NA RWANDA
Tuesday, May 31, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MAREFA wanne kutoka Gabon, ndio watakochezesha mchezo wa kimataifa kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Map...
'RAMBO' THOM ULIMWENGU AINGIA KAMBINI STARS MAANDALIZI NA MISRI
Tuesday, May 31, 2016
Ulimwengu amejiunga na kambi ya Taifa Stars Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM NYOTA wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Emmanuel Ulimwengu a...
PAYET AFUNGA DAKIKA YA MWISHO UFARANSA YAILAZA CAMEROON 3-2 KIRAFIKI
Tuesday, May 31, 2016
Kipa wa Cameroon, Fabrice Ondoa akiruka bila mafanikio kuokoa mchomo wa Dimitri Payet wa Ufaransa katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa ...
POGBA ABADILISHA STAILI YA MNYOO KUELEKEA EURO 2016
Tuesday, May 31, 2016
Kiungo wa Juventus ya Italia, Paul Pogba na timu ya taifa ya Ufaransa akionyesha mtindo wake mpya wa kunyoa kwa ajili ya Fainali za Euro ...
HANS POPPE: HAJAACHWA JUUKO WALA KIIZA, WA KIGENI WOTE BADO WACHEZAJI WA SIMBA
Tuesday, May 31, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amesema kwamba hakuna mchezaji wa kigeni a...
Michuano Ya Copa Amerika yaanza kunukia
Tuesday, May 31, 2016
Copa Amerika Ilianza mwaka 1916 ndio michuano mikongwe zaidi ya mabara duniani. Michuano hii inajitosheleza na imekua ikizaa matunda ...
HIVI NDIVYO MOURINHO ALIVYOANZA USAJILI WAKE MAN UNITED
Tuesday, May 31, 2016
Kinda Cameron Borthwick-Jackson akisaini Mkataba wa miaka minne kuendelea kuichezea Manchester United hadi mwaka 2020 kufuatia mwanzo mzu...
Monday, May 30, 2016
CAF YARUDISHA MTOANO KUANZIA ROBO FAINALI MICHUANO YA KLABU AFRIKA
Monday, May 30, 2016
SHIRIKISHO la Soka Afrika limetaja mfumo mpya wa mashindano yake kuanzia mwakani, na sasa limerudisha mtindo wa mechi za mtoano kuanzia hat...
KIPRE TCHETCHE ASAINI UMANGANI, AZAM WAPELEKA KESI FIFA
Monday, May 30, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI Kipre Herman Tchetche inadaiwa amesaini klabu ya Al-Nahda Al-Buraimi, Oman, wakati bado ana...
STRAIKA WA JKT RUVU 'AMFUNIKA' NGOMA WA YANGA LIGI KUU
Monday, May 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa Abdulrahman Mussa wa JKT Ruvu ameibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Mei...
MKWASA: MISRI WANAFUATA SARE, LAKINI TUTAWAPIGA
Monday, May 30, 2016
Na Alfred Lucas, NAIROBI KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania, Charles Boniface Mkwasa amesema kwamba mchezo ujao kati ya Mapharao wa Mi...
MICHO AWAONYESHA SIMBA WAMEKOSEA KUMUACHA JUUKO
Monday, May 30, 2016
BEKI aliyetupiwa virago Simba SC ya Tanzania, Juuko Murshid amejumuishwa katika kikosi cha mwisho cha Uganda cha wachezaji 19 kwa ajili ya ...
MOURINHO AMTAKA RIO FERDINAND AWE MSAIDIZI WAKE MAN UNITED, GIGGS...
Monday, May 30, 2016
KOCHA Jose Mourinho amemuorodhesha Rio Ferdinand katika orodha ya watu anaotaka kufanya nao kazi kwenye benchi la Ufundi katika mapinduzi...
TAIFA STARS NA HARAMBEE KATIKA PICHA JANA KASARANI
Monday, May 30, 2016
Mshambauliaji wa Tanzania, Elias Maguli (kulia) akiwania mpira dhidi ya beki wa Kenya, David Owino (kushoto) katika mchezo wa kirafiki wa...
KIPRE TCHETCHE ‘ATIKISA KIBERITI’ AZAM, ASEMA ANATAKA KUONDOKA
Monday, May 30, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI Muivory Coast wa Azam FC, Kipre Herman Tchetche (pichani kushoto) amesema kwamba inatosha...
SPAHIC ALIMWA NYEKUNDU BAADA YA KUMPIGA FABREGAS HISPANIA IKIILAZA BOSNIA 3-1
Monday, May 30, 2016
Beki wa Bosnia-Herzegovina, Emier Spahic akimpa mkono wa uso kiungo wa Hispania Cesc Fabregas wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa b...
MASHABIKI WAPIGANA HADI DAMU UWANJA WA WEMBLEY
Monday, May 30, 2016
MASHABIKI wa Barnsley walilazimika kukimbia kukwepa kikundi cha mashabiki wa Millwall waliowavamia kuwashambulia Jumapili Uwanja w aWembley...
ITALIA YAIKANDAMIZA 1-0 SCOTLAND PASHA PASHA YA EURO 2016
Monday, May 30, 2016
Giorgio Chiellini iwa Italia akimruka Phillips wa Scotland katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa Jumapili kujiandaa na fainali ...
UJERUMANI WAGONGWA 3-1 KIRAFIKI NA SLOVAKIA
Monday, May 30, 2016
Michal Duris akishangilia baada ya kuifungia Slovakia bao la pili kwa kichwa akimalizia krosi ya Vladimir Weiss katika ushindi wa 3-1 ...
Sunday, May 29, 2016
HARAMBEE WABANWA NYUMBANI SARE 1-1 NA TAIFA STARS KASARANI
Sunday, May 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, NAIROBI TANZANIA ‘Taifa Stars’ imelazimisha sare ya 1-1 na wenyeji Kenya ‘Harambee Stars’ katika mchezo wa kirafiki wa ...
SAMATTAAA HUYOO EUROPA LEAGUE, APIGA BAO GENK YAUA 5-1 NA KUFUZU UEFA NDOGO
Sunday, May 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, GENK HATIMAYE ndoto za Mtanzania Mbwana Ally Samatta kucheza michuano ya Europa League mwakani zimetimia leo, baada ya ...
CARRASCO ALIKWENDA KUMPIGA 'MIDENDA' MISS UBELGIJI BAADA YA KUISAWAZISHIA ATLETICO JANA
Sunday, May 29, 2016
Kiungo Yannick Carrasco akimpiga busu mpenzi wake, mwanamitindo na Miss Ubelgiji, Noemie Happart baada ya kuifungia bao la kusawazisha At...
WAFALME REAL MADRID WALIVYOPOKEWA NYUMBANI NA MWALI WA ULAYA
Sunday, May 29, 2016
Wachezaji wa Real Madrid wakiwa kwenye gari wazi wakati wa mapokezi yao mjini Madrid kutoka Milan, Itali ambako jana waliwafunga kwa pe...
Subscribe to:
Posts (Atom)