![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimuacha chini beki wa Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1 |
![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akimoka beki wa Mwadui FC katika mchezo huo |
![]() |
| Winga wa Yanga, Simon Msuva akijiandaa kupiga mpira mbele ya wachezaji wa Mwadui FC |
![]() |
| Beki wa Yanga, Juma Abdul akipiga mpira mbele ya beki wa Mwadui FC, David Luhende |
![]() |
| Kikosi cha Yanga cha jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam |
![]() |
| Kikosi cha Mwadui FC jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam |








.png)
0 comments:
Post a Comment