Mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya 55 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sunderland kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Light. Vardy alifunga bao la pili pia dakika ya 90 na ushei. Leicester inafikisha pointi 72 kileleni mwa Ligi Kuu baada ya kucheza mechi 33, ikifuatiwa na Tottenham Hotspur yenye pointi 62 za mechi 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The European giants hoping to sign Kyle Walker after he stunned Man City by
telling the club he wants to leave - with THREE Saudi sides also interested
-
SIMON JONES AND NATHAN SALT: The frontrunners for Kyle Walker 's signature
after the Manchester City star asked to leave the club to go and play
abroad hav...
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment