Kikosi cha timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars kilichotwaa Kombe la CECAFA Castle mjini Mwanza mwaka 2001 baada ya kuifunga Kenya katika fainali mabao 3-1 Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Kutoka kulia waliosimama ni Charles Boniface Mkwasa (Kocha Msaidizi), Ramadhani Mkuna (Daktari), Waziri Mahadhi (kiungo), Nteze John (mshambuliaji), Boniface Pawasa (beki wa kati), Mecky Mexime (beki wa kulia), John Mwansasu (beki wa kati) na Syllersaid Mziray (Kocha Mkuu, sasa marehemu).
Waliochuchumaa kutoka kulia ni Yussuf Machi (kiungo), Joseph Kaniki (mshambuliaji), Salvatory Edward (kiungo), Alphonce Modest (beki wa kushoto), Said Maulid (winga) na Manyika Peter (kipa).
Waliochuchumaa kutoka kulia ni Yussuf Machi (kiungo), Joseph Kaniki (mshambuliaji), Salvatory Edward (kiungo), Alphonce Modest (beki wa kushoto), Said Maulid (winga) na Manyika Peter (kipa).
0 comments:
Post a Comment