Kiungo wa Tottenham Hotspur, Dele Alli akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 70 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Manchester United kwenye nchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa White Hart Lane. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Toby Alderweireld dakika ya 74 na Erik Lamela dakika ya 76. Spurs inafikisha pointi 65 baada ya kucheza mechi 33 na kuendelea kukaa nafasi ya pili, nyuma ya Leicester City yenye pointi 72 za mechi 33 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Robbie Fowler claims out-of-form Reds forward 'is NOT a Liverpool player'
after another poor showing in FA Cup win
-
Robbie Fowler argued that Darwin Nunez is not fit to wear a Liverpool shirt
during the Reds' 4-0 FA Cup win over Accrington Stanley.
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment