Beki wa Real Sociedad, Esteban Granero (kulia) akimzuia mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa Anoeta. Real imeshinda 1-0, bao pekee la kinda wa miaka 18, Mikel Oyarzabal, huo ukiwa mchezo wa pili mfululizo kupoteza katika La Liga baada ya wiki iliyopita kufungwa 2-1 na mahasimu Real Madrid katika El Clasico PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wales pick uncapped Edwards and Mee for Six Nations as Faletau returns
-
Wales names Ospreys fly-half Dan Edwards and Scarlets wing Ellis Mee as two
uncapped players in a 34-man squad for the 2025 Six Nations.
28 minutes ago
0 comments:
Post a Comment