![]() |
| Kutoka kulia ni mtangazaji wa Azam TV, Philip Cyprian, Maofisa Habari Jerry Muro wa Yanga na Baraka Kizzuguto wa TFF |
![]() |
| Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo 'Julio' (kulia) akifuatilia droo hiyo |
![]() |
| Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba (kushoto) akifuatilia zoezi hilo jana |
![]() |
| Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, Esther Chabruma 'Lunyamila' akiinua timu ya Mwadui wakati wa uchezeshwaji wa droo hiyo |
![]() |
| Kizuguto aliyekuwa Ofisa Habari wa Yanga kabla ya Muro (kulia) wakipiga picha ya pamoja maarufu kama selfie |








.png)
0 comments:
Post a Comment