Dujon Sterling akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu ya vijana chini ya umri wa miaka 18 ya Chelsea bao la kwanza katika ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la England kwa vijana wa umri huo dhidi ya Manchester City Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Tammy Abraham na Fikayo Tomori huku bao pekee la Man City likifungwa na Brahim Abdelkader Diaz, hivyo makinda hayo ya The Blues kutwaa tena ubingwa wa U-18 wa FA kwa ushindi wa jumla wa 4-2 baada ya awali kutoa sare ya 1-1 mjini Manchester PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Klay Thompson: 'Just Surreal' to Pass Reggie Miller on NBA's All-Time
3-Point List
-
Dallas Mavericks guard Klay Thompson called it "surreal" to pass one of his
NBA idols on the all-time three-pointers list on Christmas Day. Thompson
now sits…
47 minutes ago
0 comments:
Post a Comment