
Saturday, April 30, 2016

Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale (katikati) akienda hewani dhidi ya mabeki wa Real Sociedad kuifungia bao pekee timu yake katika ushindi...
ARSENAL YAILAZA 1-0 NORWICH CITY LIGI KUU ENGLAND
Saturday, April 30, 2016
Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud (kulia) akijaribu kumvisha kanzu bila mafanikio beki wa Norwich, Ivo Pinto katika mchezo wa Lig...
YANGA HAIKAMATIKI BWANA WEE, TOTO YAFA 2-1 KIRUMBA….UBINGWA NJIA MOJA JANGWANI
Saturday, April 30, 2016
Na Prince Akbar, MWANZA YANGA SC imezidi kupaa kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji To...
KIVUMBI LIGI KUU LEO, DERBY MBILI...GAME LA KIDUGU MOJA
Saturday, April 30, 2016
Na Somoe Ng'itu, DAR ES SALAAM MBIO za kusaka ubingwa na nafasi ya kubaki kwenye Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara msimu ujao zinatarajia...
FARID MUSSA AFANYIWA VIPIMO CLUB TENERIFE
Saturday, April 30, 2016
Winga wa kimataifa wa Tanzania, Farid Mussa Malik akifanyiwa vipimo na klabu ya Deportivo Tenerife ya Uholanzi, baada ya kufanya vizuri k...
Friday, April 29, 2016
COSAFA 2016; WATETEZI NAMIBIA WAPEWA BOTSWANA ROBO FAINALI
Friday, April 29, 2016
RAUNDI YA KWANZA KOMBE LA COSAFA CASTLE... Kundi A A1 – Zimbabwe A2 – Swaziland A3 – Seychelles A4 – Madagascar Kundi B B1 – Malawi ...
TFF KUSIKILIZA RUFAA ZA GEITA KESHO, KESI ZA AKINA BOCCO, NGOMA 'ZAPIGWA KALENDA'
Friday, April 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIKAO cha Kamati ya Rufaa ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kitafanyika Jumamosi Aprili ...
DEPORTIVO TENERIFE 'WAMSAJILI' YUSSUF BAKHRESA
Friday, April 29, 2016
Mkurugenzi wa Soka wa Club Deportivo Tenerife (kulia), akimkabidhi jezi ya timu hiyo, Mkurgenzi wa Azam FC ya Tanzania, Yussuf Bakhresa l...
KIPRE TCHETCHE AWAPONEA SIMBA SC, WAWA...
Friday, April 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI hatari wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Kipre Tchetche, yupo fiti asilim...
WAZEE YANGA WAIVAA BMT ISOGEZE MBELE MCHAKATO WA UCHAGUZI WACHEZE MPIRA KWANZA
Friday, April 29, 2016
Na Somoe Ng'itu, DAR ES SALAAM BARAZA la Wazee la Klabu ya Yanga limeiomba Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kus...
FARID MUSSA: HISPANIA KUGUMU, LAKINI NAKOMAA HADI KIELEWEKE
Friday, April 29, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM WINGA chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Farid Mussa Malik (pichani kushoto) amesema kwamba majaribio...
MWINYI MNGWALI YUKO FITI 100% KUIVAA TOTO KESHO
Friday, April 29, 2016
Na Prince Akbar, MWANZA BEKI wa kushoto wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali anatarajiwa kurejea uwanjani kesho timu yake ikimenyana na Toto Afr...
BOBAN NA WENGINE WATATU HAWAPO KESHO MBEYA CITY NA MTIBWA MANUNGU
Friday, April 29, 2016
Na Doreen Favel, MBEYA MBEYA City itawakosa wote, Shamte Moshi 'Boban' katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kesho dh...
LIVERPOOL YAGONGWA KIDUDE EL MADRIGAL, SEVILLA YAPATE SARE UGENINI
Friday, April 29, 2016
Tomas Pina (kushoto) wa Villarreal akitafuta mbinu za kumpokonya mpira Philippe Coutinho wa Liverpool katika Nusu Fainali ya kwanza ya E...
Thursday, April 28, 2016
FARID MUSSA APAGAWISHA KINOMA HISPANIA
Thursday, April 28, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KLABU ya ya Deportivo Tenerife ya Ligi Daraja la Pili Hispania, ijulikanayo kama Segunda inaonekana ku...
TIGERS WATWAA UBINGWA NAMIBIA BAADA YA MIAKA 31
Thursday, April 28, 2016
KLABU kongwe, Tigers, imemaliza ukame wa miaka 31 wa kusubiri taji Ligi Kuu ya Namibia baada ya kutwaa ubingwa wa msimu wa 2015/2016 wa lig...
DIEGO SIMEONE AFUNGIWA MECHI ZOTE ZILIZOBAKI LA LIGA
Thursday, April 28, 2016
KOCHA Mkuu wa Atletico Madrid, Diego Simeone (pichani kulia) amefungiwa kukaa kwenye benchi kwa mechi zote tatu zilizobaki za timu yake k...
SIMBA YAITUMIA SALAMU AZAM, YAUA 3-0 ZOTE AWADH JUMA
Thursday, April 28, 2016
Kiungo wa Simba, Awadh Juma usiku wa jana amefunga mabao yote matatu Uwanja wa Amaan, Zanzibar timu yake ikishinda 3-0 katika mchezo wa k...
YANGA HAKUNA KULALA, TAYARI WAPO MWANZA KWA AJILI YA TOTO LAO JUMAMOSI
Thursday, April 28, 2016
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM YANGA SC imeondoka asubuhi ya leo kwa ndege kwenda Mwanza kwa ajili ya mechi zake mbili mfululizo za Ligi K...
YANGA NA MGAMBO KATIKA PICHA JANA TAIFA
Thursday, April 28, 2016
Mfungaji wa mabao mawili ya Yanga katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Mgambo JKT kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Deus Davi...
AZAM NA MAJIMAJI KATIKA PICHA JANA CHAMAZI
Thursday, April 28, 2016
Mfungaji wa mabao yote mawili ya Azam FC katika ushindi wa 2-0 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kwenye mchezo wa Ligi Kuu y...
FARID MUSSA AFANYIWA VIPIMO VYA MOYO, YUSSUF BAKHRESA AUNGANA NAYE HISPANIA
Thursday, April 28, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM BAADA ya kumfanyia majaribio ya siku tatu, klabu ya ya Deportivo Tenerife ya Ligi Daraja la Pili Hispani...
CHELSEA WABINGWA TENA KOMBE LA FA LA VIJANA ENGLAND
Thursday, April 28, 2016
Dujon Sterling akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu ya vijana chini ya umri wa miaka 18 ya Chelsea bao la kwanza katika ushind...
Wednesday, April 27, 2016
ATLETICO MADRID YAIKALISHA BAYERN MUNICH VICENTE CALDERON
Wednesday, April 27, 2016
Nyota wa Atletico Madrid, Saul Niguez akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Bayern Munich ya...
WANAMUZIKI NA WADAU WA MUZIKI KUKUTANA NA MKUU WA MKOA DSM ALHAMISI HII
Wednesday, April 27, 2016
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda Na Saidy Mdoe, DAR ES SALAAM WANAMUZIKI wa dansi, taarab, bongo fleva na wadau wa muziki waishio Dar...
TFF YAITHIBITISHA YANGA FAINALI ASFC, MAREFA WAFUNGIWA
Wednesday, April 27, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Mashindano ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imeithibitisha Yanga SC kuingia fainali ya mic...
Subscribe to:
Posts (Atom)