TIMU ya taifa ya soka ya wanawake Tanzania, Twiga Stars imetolewa katika mbio za kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika licha ya kulazimisha sare ya 1-1 dhidi ya wenyeji, Zimbabwe ‘Mighty Warriors’ jioni ya leo katika mchezo wa mchujo wa marudiano Uwanja wa Rufaro mjini Harare. Zimbabwe inasonga mbele kwa ushindi wa ushindi wa 3-2, baada ya awali kushinda 2-1 mjini Dar es Salaam wiki iliyopita. Twiga inayozikosa Fainali za mwakani Cameroon, inatarajiwa kurejea nyumbani kesho mchana.
NELFund felicitates Tinubu on 73rd birthday
-
From Fred Ezeh, Abuja The Nigeria Education Loan Fund (NELFund) has
felicitated President Bola Ahmed Tinubu on his 73rd birthday. NELFund
Managing Direct...
Osasuna claim Barcelona player was ineligible
-
Osasuna launch an appeal to the Royal Spanish Football Federation, claiming
Barcelona defender Inigo Martinez was ineligible to play against them.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment