Danny Rose wa England akitelezea sehemu tofauti na mpira ambao upo kwenye himaya ya Joel Veltman wa Uholanzi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku huu Uwanja wa Wembley, London. Uholanzi imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Vincent Janssen kwa penalti na Luciano Narsingh, baada ya Jamie Vardy kutangulia kuwafungia wenyejiPICHA ZAIDI GONGA HAPA
Matt Ritchie katikati ya beki Daniel Agger na kipa Kasper Schmeichel kuifungia bao pekee Scotland dakika ya nane katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Denmark Uwanja wa Hampden Park usiku huu katika mchezo wa kirafiki wa kimataifaPICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment