// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TAIFA STARS WALIVYOJIFUA TAIFA LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TAIFA STARS WALIVYOJIFUA TAIFA LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Saturday, March 26, 2016

        TAIFA STARS WALIVYOJIFUA TAIFA LEO


        Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta akicheza na mpira mazoezini leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kujiandaa na mechi dhidi ya Chad Jumatatu kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika 2017
        Mshambuliaji mpya wa Taifa Stars Abdillahi Yussuf 'Adi' kutoka klabu ya Mansfield Town ya Daraja la pili England akifanya mazoezi leo Uwanja wa Taifa
        Mshambuliaji Thomas Ulimwengu akikokota mpira mazoezini leo. Kulia ni mshambuliaji mwingine John Bocco
        Kulia ni beki David Mwantika na kushoto kiungo Farid Mussa mazoezini leo Taifa
        Wachezaji wa Taifa Stars wakicheza mchezo maarufu kama 'Hangaisha Bwege' na anayeutafuta mpira hapo Adi
        Kocha Mkuu Charles Boniface Mkwasa akifundishs kwa vitendo. Kulia ni beki Shomary Kapombe

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: TAIFA STARS WALIVYOJIFUA TAIFA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry