![]() |
Rwanda wamepoteza mechi ya ugenini kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2017 nchini Gabon baada ya kufungwa 1-0 na Mauritius jana |
Mechi nyingine za jana, Senegal imeifunga 2-0 Niger Uwanja wa Stade Leopold Sedar Senghor mjini Dakar, Morocco imeshinda 1-0 ugenini dhidi ya Cape Verde mjini Praia, wakati Cameroon imelazimishwa sare ya 2-2 na Afrika Kusini, DRC imeifunga 2-1 Angola Uwanja wa Stade des Martyrs, Kinshasa, wakati Burundi imefungwa 3-1 nyumbani na Namibia Uwanja wa Prince Louis Rwagasore, Buumbura na Shelisheli imeifunga 2-0 Lesotho Uwanja wa Stade Linite.
0 comments:
Post a Comment