![]() |
Mshmbauliaji John Bocco kulia akimiliki mpira pembeni ya beki Shomary Kapombe |
![]() |
Kiungo Mohammed Ibrahim akipasua katikati ya Ibrahim Hajib (kulia) na Juma Abdul (kushoto) |
![]() |
Kiungo Jonas Mkude akimiliki mpira mbele ya kiungo Shizza Kichuya |
![]() |
Kiungo Mwinyi Kazimoto akifanya vitu vyake katika mazoezi leo |
![]() |
Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta (kulia) akimiliki mpira pembeni ya kiungo Farid Mussa |
![]() |
Kiungo Jonas Mkude akimlamba chenga beki Juma Abdul katika mazoezi matamu leo |
![]() |
Mabeki Mohammed Hussein 'Tshabalala' kulia na Erasto Nyoni (kushoto) wakigombea mpira |
![]() |
Washambuliaji tegemeo wa Taifa Stars, Mbwana Samatta (kulia) na Thomas Ulimwengu (kushoto) mazoezini leo |
![]() |
Makocha Charles Boniface Mkwasa na Hemed Morocco wakisimamia mazoezi leo |
0 comments:
Post a Comment