![]() |
Wachezaji wa Azam FC wakiwa mazoezini kwa ajili ya mchezo huo wa kwanza Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika |
![]() |
Kiungo Frank Domayo akicheza na mpira kwenye mazoezi hayo ya jana jioni |
![]() |
Wachezaji wa Azam FC wakipasha jana Uwanja wa Bidvest Wist |
![]() |
Azam FC walionekana wako vizuri kuelekea mchezo huo utakaoanza Saa 1:00 usiku |
![]() |
Beki Serge Wawa (kulia) raia wa Ivory Coast akiwa na mchezaji mwenzake wa zamani wa El Merreikh ya Sudan, mshambuliaji Mkenya Allan Waanga (kushoto) |
0 comments:
Post a Comment