// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); FUNGU LA MWISHO STARS LILIVYOPAA CHAD ALFAJIRI HII - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE FUNGU LA MWISHO STARS LILIVYOPAA CHAD ALFAJIRI HII - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Tuesday, March 22, 2016

        FUNGU LA MWISHO STARS LILIVYOPAA CHAD ALFAJIRI HII

        Nahodha Msaidizi wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, John Raphael Bocco (kushoto) akiwa kwenye mgahawa wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam Alfajiri hii wakati wa safari ya kwenda D’jamena, Chad kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika dhidi ya wenyeji Jumatano. Kulia ni Himid Mao
        Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mashindano wa TFF, Martin Chacha, kipa Aishi Manula, beki David Mwantika na kiungo Farid Mussa 

        Katikati ni Mkuu wa Msafara, Ravia Idarus, ambaye pia ni Rais wa ZFA

        Katikati ni beki Shomary kapombe akiwa na wachezaji wenzake wa Azam FC, Himid na Bocco

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: FUNGU LA MWISHO STARS LILIVYOPAA CHAD ALFAJIRI HII Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry