Kipa wa kimataifa wa Hispania, Iker Casillas (kushoto) amefunga ndoa ya siri na mpenzi wake, Sara Carbonero (kulia) ambaye ni mwandishi wa habari za michezo nchini humo. Wawili hao walioanza mapenzi yao mwaka 2010 na wanatarajiwa kupata mtoto wa pili, walifunga ndoa yao iliyohudhuriwa na watu wachache ukumbi wa Boadilla del Monte mjini Madrid
Marcus Rashford is spotted for the first time since he was ruthlessly axed
from Manchester United's squad by Ruben Amorim
-
Rather than watch from home, as he did for the derby and for the Tottenham
game, Rashford was spotted at Old Trafford to watch his team-mates face
Bournemo...
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment