
Thursday, March 31, 2016

KLABU ya Sunderland imemfukuza beki Emmanuel Eboue baada ya siku 22 tangu imsajili kufuatia taarifa za kufungiwa kwake mwaka mmoja kwa kush...
MALINZI AHOFIA KARUME KUPIGWA MNADA
Thursday, March 31, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (pichani kushoto) amesema kwamba ana wasiwasi ...
KAPOMBE APIGA MBILI, AZAM YAING’OA PRISONSKOMBE LA TFF
Thursday, March 31, 2016
Na Mwandishi Weu, DAR ES SALAAM AZAM FC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baada...
YONDAN AIPELEKA YANGA NUSU FAINALI
Thursday, March 31, 2016
Yondan ameifungia bao la ushindi Yanga leo dhidi ya Ndanda Na Somoe Ng’itu, DAR ES SALAAM YANGA imekata tiketi ya Nusu Fainali ya Komb...
KAPOMBE APANIA MAKUBWA BAADA YA TUZO YA VODA
Thursday, March 31, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BEKI wa Azam FC ya Dar es Salaam, Shomary Kapombe jana amekabidhiwa kitita cha shilingi Milioni 1/- kutok...
KOCHA MATAJI AELEKEA KUWEKA REKODI MPYA AFRIKA
Thursday, March 31, 2016
BAADA ya kushinda mataji mawili ya Afrika akiwa na Zambia na Ivory Coast, kocha Mfaransa Herve Renard sasa anaelekea kuweka rekodi nyingine...
SI KWA MAZOEZI HAYA JOSHUA, UTAUA!
Thursday, March 31, 2016
Bondia Anthony Joshua ameanza mazoezi kwa zaidi ya wiki moja sasa kujiandaa kuendeleza rekodi ya kutopoteza pambano atakapopambana na bin...
AZAM NA PRISONS CHAMAZI, YANGA NA NDANDA TAIFA
Thursday, March 31, 2016
ROBO Fainali ya michuano ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup inatarajiwa kuendelea leo k...
Wednesday, March 30, 2016
CASILLAS AJIBEBEA JUMLA KIMYA KIMYA 'RIPOTA' WAKE
Wednesday, March 30, 2016
Kipa wa kimataifa wa Hispania, Iker Casillas (kushoto) amefunga ndoa ya siri na mpenzi wake, Sara Carbonero (kulia) ambaye ni mwandishi w...
MAYANJA 'AWANYOROSHA' VICHWA NGUMU SIMBA SC
Wednesday, March 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIWANGO cha nidhamu ya wachezaji ndani ya klabu ya Simba sasa kinaridhisha, baada ya uongozi kuamua kuu...
GARY NEVILLE ATUPIWA MABEGI YAKE VALENCIA
Wednesday, March 30, 2016
KOCHA Gary Neville amefukuzwa Valencia ya Hipania wakati zikiwa zimebaki mechi nane msimu kumalizika. Msaidizi wa zamani wa Rafa Benite...
VIDEO: NGASSA AKIJIFUA GYM AFRIKA KUSINI
Wednesday, March 30, 2016
Tazana video ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Ngassa akijifua Afrika Kusini ambako anachezea klabu ya Free State Stars ba...
MISS TANZANIA WA ZAMANI AIPA SOMO SERIKALI
Wednesday, March 30, 2016
Na Somoe Ng'itu, DAR ES SALAAM MISS Tanzania (2001) na mwanamitindo wa kimataifa, Millen Happiness Magese, ameiomba serikali kuwekeza ...
MESSI AING'ARISHA ARGENTINA, BRAZIL CHUPUCHUPU
Wednesday, March 30, 2016
Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi akifunga kwa penalti katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia jana dhidi ya Bolivia, timu yake ...
VODACOM YAMKABIDHI MKWANJA WAKE KAPOMBE
Wednesday, March 30, 2016
Beki wa Azam FC, Shomari Kapombe (kushoto) akikabidhiwa mfano wa hundi ya Sh. Milioni 1 baada ya kushinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi K...
MKWASA ANADAI MILIONI 200 MISHAHARA TAIFA STARS
Wednesday, March 30, 2016
Na Somoe Ng'itu, DAR ES SALAAM LICHA ya Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete kuacha maagizo ya kulipwa mshahara na marupurupu kama wal...
MZEE KAWAWA ALIISHUHUDIA AHLY IKIIPIGA 3-0 MAJIMAJI TAIFA
Wednesday, March 30, 2016
Mgeni Rasmi, Waziri Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rashid Mfaume Kawawa (sasa marehemu, wa pili kushoto) akisalimiana...
KWELI NI NGUMU, LAKINI NAFASI BADO IPO
Wednesday, March 30, 2016
TIMU ya taifa ya Chad imejitoa kwenye mechi za kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika 2017, siku moja kabla ya mchezo wake wa marudiano na wen...
RONALDO AFUNGA, URENO YASHINDA 2-1 NYUMBANI
Wednesday, March 30, 2016
Mshambuliaji wa Ureno, Cristiano Ronaldo akishangilia kwa staili yake maarufu baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 40 ikish...
UJERUMANI YAIFUMUA ITALIA 4-1, UFARANSA YAIPIGA 4-2 URUSI
Wednesday, March 30, 2016
Mario Gotze wa Ujerumani akipambana katikati ya Matteo Darmian (kushoto) na Alessandro Florenzi kulia) wa Italia katika mchezo wa kirafi...
UHOLANZI 'YAITUNUKU' 2-1 ENGLAND, SCOTLAND YAIKALISHA DENMARK
Wednesday, March 30, 2016
Danny Rose wa England akitelezea sehemu tofauti na mpira ambao upo kwenye himaya ya Joel Veltman wa Uholanzi katika mchezo wa kirafiki w...
Tuesday, March 29, 2016
CAF YAMTUPA NIYONZIMA JUKWAANI YANGA NA AL AHLY, TAMBWE, KAMUSOKO, NGOMA NAO!
Tuesday, March 29, 2016
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM KIUNGO Haruna Niyonzima hatacheza mchezo wa kwanza wa 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly y...
NYOTA WA AHLY AITUPA NJE NIGERIA AFCON 2017
Tuesday, March 29, 2016
BAO pekee la Ramadan Sobhi (pichani kulia) limeipa ushindi wa 1-0 Misri katika mchezo wa Kundi G kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika leo...
KAZIMOTO: WADOGO ZETU HAWAAMBILIKI, WANAJIONA WAO NDIYO WAO
Tuesday, March 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO mkongwe wa wa kimataifa wa Tanzania, Mwinyi Kazimoto Mwitula (pichani kushoto) anayechezea Simb...
TFF YAZIKAZIA AZAM NA YANGA ZICHEZE KOMBE LA SHIRIKISHO
Tuesday, March 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOMBE la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) linatarajiwa kuendelea Alhamisi kwa michezo miwili kuche...
SERENGETI BOYS KUMENYANA NA MAFARAO WADOGO
Tuesday, March 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) inatarajiwa kucheza michezo miwili ...
YANGA KAMBINI LEO KUJIANDAA NA WIKI NGUMU HAIJAWAHI KUWATOKEA
Tuesday, March 29, 2016
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM YANGA SC wanaingia kambini leo katika hoteli moja ya kifahari mjini Dar es Salaam kujiandaa na wiki ngumu z...
JUMA ABDUL MNYAMANI; SIMBA HAWANA UBAVU WA KUPORA UBINGWA YANGA
Tuesday, March 29, 2016
BAADA ya kustaafu kwa Nsajigwa Shadrack Mwandemele, klabu ya Yanga inaelekea kupata suluhisho la beki ya kulia, kufuatia kuja vizuri kwa Ju...
Subscribe to:
Posts (Atom)