![]() |
Winga wa Yanga SC, Godfrey Mwashiuya akimtoka beki wa JKT Mlale katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) hatua ya 16 Bora jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1 |
![]() |
Kiungo wa Yanga SC, Salum Telela akimtoka beki wa JKT Mlale |
![]() |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Paul Nonga akimtoka beki wa JKT Mlale |
![]() |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Malimi Busungu akiwatoka wachezaji wa JKT Mlale |
![]() |
Kikosi cha JKT Mlale jana Uwanja wa Taifa |
![]() |
Kikosi cha Yanga SC jana Uwanja wa Taifa |
0 comments:
Post a Comment