Beki wa Simba SC, Abdi Banda (kulia) akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0 |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Amissi Tambwe akipiga mpira mbele ya mabeki wa Simba jana |
Wachezaji Wazimbabwe, kiungo Justive Majabvi wa Simba SC (kushoto) akiwania mpira dhidi ya mshambuliaji Donald Ngoma wa Yanga |
Abdi Banda (kulia) akipambana na Donald Ngoma jana Uwanja wa Taifa |
Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima (kulia) akijivuta kupiga mpira pembeni ya mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib |
Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke |
Kocha wa Simba SC, Jackson Mayanja akimpa maelekezo Mganda mwenzake, mshambuliaji Hamisi Kiiza jana Uwanja wa Taifa |
Donald Ngoma akimtoka Mzimbabwe mwenzake, Justice Majabvi jana Dar es Salaam |
Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akimiliki mpira mbele ya beki Mganda wa Simba SC, Juuko Murshid |
Winga wa Yanga SC, Simon Msuva (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Simba SC, Hassan Kessy jana Uwanja wa Taifa |
0 comments:
Post a Comment